If you like Salama Na, try…
Latest episodes
-
SE7EP38 - SALAMA NA MFAUMEX2 | TOE - TO - TOE
March 2, 2023 · 60 minMfaume Mfaume ni yule mwana ambaye akitokea sehemu ni sahihi kwako kuwaambia wahusika kwamba jamani, mwamba huyu hapa! Muonekano wake pekee unamfanya mtu ajue yuko kwenye presence na mtu maalum na baadae ukishajua hasa nini anafanya basi…
-
SE7EP37 - SALAMA NA TOUFIQ | Um'PENDAE
February 23, 2023 · 36 minToufiq ni moja ya majina makubwa kati ya wafanya biashara wazuri na sasa mwanasiasa na Mbunge wa Mpendae, kwa wazee na vijana wa visiwani humo yeye ni mmoja wa mifano ya kuigwa ingawa kwake yeye yaliyo mengi kwenye maisha yake ni nguvu…
-
SE7EP36 - SALAMA NA ALLY BEE | KULE NI KULE…
February 16, 2023 · 1 hr 5 minKwenye jiji la ‘Maraha’ hapa nyumbani kwetu Tanzania ambayo kwa miaka ya hivi karibuni sehemu za starehe zimekua tele na kila mmoja ana uwezo wa kula bata zake vizuri tu kulingana na urefu wa mfuko wake basi hakuna ambaye HAJUI jina la DJ…
-
SE7EP35 - SALAMA NA EVANS BUKUKU | STICK - TO- ITIVENESS
February 9, 2023 · 1 hr 14 minUlikua muda mwingi hasa umepita toka mara ya mwisho nilionana na Evans wa Bukuku na kukaa naye chini kisha tukaongea. Na ki ukweli hajawahi kuwa rafiki yangu wa karibu ila ni mtu ambaye tunafahamina na kuheshimiana. Hustle zake nazifahamu…
-
SE7EP34 - SALAMA NA FETTY DENSA | KUTOKA UBAVUNI...
February 2, 2023 · 1 hr 12 minKwa ambao wanafuatilia mpira hapa nyumbani wanamjua mchezaji huyu mahiri wa Simba Queens lakini ambao wanafuatilla soka la wanawake hawa watakua wanaelewa uwezo binafsi na uhodari wake wa kucheza namba tofauti tofauti uwanjani ila ukimkuta…
Show 7 more episodesShow fewer episodes
-
SE7EP33 - SALAMA NA MR BLUE | KHERI
January 26, 2023 · 57 minKheri Sameer aka Mr Blue aka Lil Sama aka Bayser ni mdogo wangu, mdogo wangu kabisa na uzuri nakumbuka kabisa mara ya kwanza kuonana nae na mpaka alivyokua amevaa. Jezi ya Denver Nuggets, jeans ya light blue na sneakers nyeupeeehh na chain…
-
SE7EP32 - SALAMA NA MRISHO NGASSA | MACHACHARI…
January 19, 2023 · 1 hr 21 minMrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na…
-
SE7EP31 - SALAMA NA KUSAH | NG’WANA AZAIZA!!
January 12, 2023 · 51 minKutoka zake Lushoto huku mkoani Tanga ni kijana mtanashati ambaye anajua kama amekuja town au jijini Dar es Salaam kwasababu ya kusaka pesa ili abadilishe maisha yake na ya wale ambao wamemzunguka. Na kila alikumbuka ambapo ametoka basi…
-
SE7EP30 - SALAMA NA BRENDA | MY DEAR…
January 5, 2023 · 1 hr 6 minUshawahi kumuangalia mtu kwa mbali na kujiuliza maswali mengi juu yake? Maswali kama siku yake ikoje, amewezaje? Kama ana familia? Ki kawaida huwa anaamka saa ngapi? Amesoma wapi? Siku yake anaipangaje? Ana watoto? Mtoto? Huwa anawaandaa…
-
SE7EP29 - SALAMA NA DEO GRATIUS | PRIVILEGED?!
December 29, 2022 · 1 hr 11 minDeo Gratias, jina tu linatosha kujielezea kama wewe nawe utakua kama mimi wa kutaka kujua maana ya majina ya watu ili uweze kujua tabia zao au ujiulize wazee wake walikua wanafikiria nini wakati wanaamua kumpa jina hilo mtoto wao. Kwa Deo…
-
SE7EP28 - SALAMA NA GARA B | BABA SHUGHULI
December 22, 2022 · 1 hr 0 minJina MC Gara B ni miungoni mwa majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa kazi ambayo mwenzetu huyu amechagua kuifanya. Familia yake, mke na watoto, wazazi wake na wa mkewe pengine, Ndugu jamaa na marafiki na waajiriwa wake wanakula vizuri…
-
SE7EP27 - SALAMA NA BARAKA KIZUGUTO | NEUTRAL
December 15, 2022 · 1 hr 13 minBaraka Kizuguto si moja ya majina yajulikanayo miungoni mwa wa Tanzania wengi ambao asilimia kubwa ya wenye simu za mkononi hupendelea zaidi habari za maisha ya watu maarufu na mashuhuri, kutaka kujua wanakula nini, wanaishi wapi, wanalala…