Salama Na podcast artwork
News

Salama Na

by Salama Na
Claiming needs an RSS feed. Contact us.

If you like Salama Na, try…

About the show

‘Salama na’ – meaning ‘Salama and’ is a one hour Podcast chat show hosted by a re known Radio &; TV personality Salama Jabir and available on Both Video and Audio of Various Platforms. In Salama na, Salama gets to sit down for exclusive chats with Celebrities, Influencers and Change makers in the society.

Latest episodes

  • SE7EP38 - SALAMA NA MFAUMEX2 | TOE - TO - TOE

    March 2, 2023 · 60 min

    Mfaume Mfaume ni yule mwana ambaye akitokea sehemu ni sahihi kwako kuwaambia wahusika kwamba jamani, mwamba huyu hapa! Muonekano wake pekee unamfanya mtu ajue yuko kwenye presence na mtu maalum na baadae ukishajua hasa nini anafanya basi…

  • SE7EP37 - SALAMA NA TOUFIQ | Um'PENDAE

    February 23, 2023 · 36 min

    Toufiq ni moja ya majina makubwa kati ya wafanya biashara wazuri na sasa mwanasiasa na Mbunge wa Mpendae, kwa wazee na vijana wa visiwani humo yeye ni mmoja wa mifano ya kuigwa ingawa kwake yeye yaliyo mengi kwenye maisha yake ni nguvu…

  • SE7EP36 - SALAMA NA ALLY BEE | KULE NI KULE…

    February 16, 2023 · 1 hr 5 min

    Kwenye jiji la ‘Maraha’ hapa nyumbani kwetu Tanzania ambayo kwa miaka ya hivi karibuni sehemu za starehe zimekua tele na kila mmoja ana uwezo wa kula bata zake vizuri tu kulingana na urefu wa mfuko wake basi hakuna ambaye HAJUI jina la DJ…

  • SE7EP35 - SALAMA NA EVANS BUKUKU | STICK - TO- ITIVENESS

    February 9, 2023 · 1 hr 14 min

    Ulikua muda mwingi hasa umepita toka mara ya mwisho nilionana na Evans wa Bukuku na kukaa naye chini kisha tukaongea. Na ki ukweli hajawahi kuwa rafiki yangu wa karibu ila ni mtu ambaye tunafahamina na kuheshimiana. Hustle zake nazifahamu…

  • SE7EP34 - SALAMA NA FETTY DENSA | KUTOKA UBAVUNI...

    February 2, 2023 · 1 hr 12 min

    Kwa ambao wanafuatilia mpira hapa nyumbani wanamjua mchezaji huyu mahiri wa Simba Queens lakini ambao wanafuatilla soka la wanawake hawa watakua wanaelewa uwezo binafsi na uhodari wake wa kucheza namba tofauti tofauti uwanjani ila ukimkuta…

  • SE7EP33 - SALAMA NA MR BLUE | KHERI

    January 26, 2023 · 57 min

    Kheri Sameer aka Mr Blue aka Lil Sama aka Bayser ni mdogo wangu, mdogo wangu kabisa na uzuri nakumbuka kabisa mara ya kwanza kuonana nae na mpaka alivyokua amevaa. Jezi ya Denver Nuggets, jeans ya light blue na sneakers nyeupeeehh na chain…

  • SE7EP32 - SALAMA NA MRISHO NGASSA | MACHACHARI…

    January 19, 2023 · 1 hr 21 min

    Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na…

  • SE7EP31 - SALAMA NA KUSAH | NG’WANA AZAIZA!!

    January 12, 2023 · 51 min

    Kutoka zake Lushoto huku mkoani Tanga ni kijana mtanashati ambaye anajua kama amekuja town au jijini Dar es Salaam kwasababu ya kusaka pesa ili abadilishe maisha yake na ya wale ambao wamemzunguka. Na kila alikumbuka ambapo ametoka basi…