MAELEZO PODCASTS podcast artwork
Government

MAELEZO PODCASTS

by Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)

Chart positions today · Philippines

Not on the Philippines charts we track today.

If you like MAELEZO PODCASTS, try…

Latest episodes

  • Huduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania

    October 2, 2026 · 27 min

    Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma…

  • Fursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa

    September 25, 2026 · 42 min

    Mzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo kwa sasa. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

  • Si kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini?

    September 18, 2026 · 45 min

    Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha…

  • Je, Tanzania atahodhi mchezo gani AFCON, Ufunguzi au fainali?

    September 14, 2026 · 42 min

    Mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa kama vile maandalizi ya AFCON 2027, mipango ya serikali kuhusu mvua za El Nino…

  • Tahadhari ya Mvua za El Niño Kuanzia Oktoba, 2026

    August 31, 2026 · 56 min

    Kufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Nino, kupitia Maelezo Podcast ili kupata ufafanuzi tumezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a ambaye anaeleza…

Show 7 more episodesShow fewer episodes
  • Aina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini.

    August 29, 2026 · 51 min

    Katika kujenga uelewa kuhusu ugonjwa wa saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Dkt. Chrispin Kahesa, tumezungumza kuhusu saratani na namna…

  • Changamoto ya Afya ya Akili, ni Akina Nani Waathirika Zaidi?

    August 21, 2026 · 1 hr 5 min

    Kupitia Maelezo Podcast tunajadili kuhusu afya ya akili kwa kumualika Daktari Veronica Lyimo, Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili kutoka Taasisi ya Afya ya Akili Tanzania, ambaye anatupitisha kwenye visababishi vya changamoto ya afya ya…

  • Kwanini ni marufuku kutunza kwa kutupa fedha chini?

    August 17, 2026 · 58 min

    Mazungumzo na Bw. Atufigwege Mwakabalile, Afisa Mwandamizi wa Benki kutoka Benki Kuu Tanzania (BOT) kuhusu sheria ya fedha nchini na marufuku iliyotilewa ya kutotunza fedha kwa kutupa chini. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

  • Sheria ya Kuasili Mtoto (Child Adoption) Tanzania

    July 31, 2026 · 34 min

    Kupitia MAELEZO PODCASTS leo tunazungumza na Bi. Ludovicka Samare, Afisa Ustawi Mwandamizi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, anatupitisha kwenye utaratibu na Sheria ya kuasili mtoto (Child Adoption), nchini Tanzania  Support the…

  • Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji

    July 24, 2026 · 45 min

    Mazungumzo na Imani Mhingo, Mtaalamu wa Elimu ya Fedha na Mitaji ya dhamana kutoka Benki ya CRDB kuhusu elimu ya hisa; nani anatakiwa kuwa na hisa? uvumi upi usio wa kweli kuhusu hisa? Angalizo na namna ya kutengeneza faida kwa njia ya…

  • Tiba ya Upandikizaji wa Uume kwa Wanaume

    July 17, 2026 · 50 min

    Dkt. Rugakingira kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha kwenye huduma hii iliyojizolea umaarufu ya upandikizaji wa uume kwa wanaume wenye changamoto za uzazi. Amejibu kuhusu nani anaweza kupandikiziwa uume, gharama na…

  • Ukweli Kuhusu Faida za Vyama vya Ushirika

    July 13, 2026 · 46 min

    Mazungumzo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Florian Haule kuhusu ushirika na ukweli wake vile umesaidia kuinua uchumi wa Watanzania tangu zamani hadi sasa. Support the…

Full episode archive on Apple Podcasts →

About the show

Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.