MAELEZO PODCASTS
Today: #28 in Government, Germany on our combined chart.
Chart positions today · Germany
Not on the United States charts we track today.
Not on the United Kingdom charts we track today.
Not on the Canada charts we track today.
Not on the Australia charts we track today.
Not on the Brazil charts we track today.
Not on the Mexico charts we track today.
Not on the New Zealand charts we track today.
Not on the Ireland charts we track today.
Not on the India charts we track today.
Not on the Japan charts we track today.
Not on the Philippines charts we track today.
Not on the South Africa charts we track today.
If you like MAELEZO PODCASTS, try…
Ranking history · Germany
Latest daily rankings: Oct 13. New rankings will appear after the next update.
View as table
| Date | Combined Rank | Apple Podcasts | Pocket Casts | Castbox |
|---|---|---|---|---|
| Oct 13 | #28 | #28 | #28 | #18 |
Latest episodes
-
Huduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania
October 2, 2026 · 27 minDkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma…
-
Fursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa
September 25, 2026 · 42 minMzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo kwa sasa. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali
-
Si kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini?
September 18, 2026 · 45 minMazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha…
-
Je, Tanzania atahodhi mchezo gani AFCON, Ufunguzi au fainali?
September 14, 2026 · 42 minMazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa kama vile maandalizi ya AFCON 2027, mipango ya serikali kuhusu mvua za El Nino…
-
Tahadhari ya Mvua za El Niño Kuanzia Oktoba, 2026
August 31, 2026 · 56 minKufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Nino, kupitia Maelezo Podcast ili kupata ufafanuzi tumezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a ambaye anaeleza…
Show 7 more episodesShow fewer episodes
-
Aina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini.
August 29, 2026 · 51 minKatika kujenga uelewa kuhusu ugonjwa wa saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Dkt. Chrispin Kahesa, tumezungumza kuhusu saratani na namna…
-
Changamoto ya Afya ya Akili, ni Akina Nani Waathirika Zaidi?
August 21, 2026 · 1 hr 5 minKupitia Maelezo Podcast tunajadili kuhusu afya ya akili kwa kumualika Daktari Veronica Lyimo, Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili kutoka Taasisi ya Afya ya Akili Tanzania, ambaye anatupitisha kwenye visababishi vya changamoto ya afya ya…
-
Kwanini ni marufuku kutunza kwa kutupa fedha chini?
August 17, 2026 · 58 minMazungumzo na Bw. Atufigwege Mwakabalile, Afisa Mwandamizi wa Benki kutoka Benki Kuu Tanzania (BOT) kuhusu sheria ya fedha nchini na marufuku iliyotilewa ya kutotunza fedha kwa kutupa chini. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali
-
Sheria ya Kuasili Mtoto (Child Adoption) Tanzania
July 31, 2026 · 34 minKupitia MAELEZO PODCASTS leo tunazungumza na Bi. Ludovicka Samare, Afisa Ustawi Mwandamizi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, anatupitisha kwenye utaratibu na Sheria ya kuasili mtoto (Child Adoption), nchini Tanzania Support the…
-
Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji
July 24, 2026 · 45 minMazungumzo na Imani Mhingo, Mtaalamu wa Elimu ya Fedha na Mitaji ya dhamana kutoka Benki ya CRDB kuhusu elimu ya hisa; nani anatakiwa kuwa na hisa? uvumi upi usio wa kweli kuhusu hisa? Angalizo na namna ya kutengeneza faida kwa njia ya…
-
Tiba ya Upandikizaji wa Uume kwa Wanaume
July 17, 2026 · 50 minDkt. Rugakingira kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha kwenye huduma hii iliyojizolea umaarufu ya upandikizaji wa uume kwa wanaume wenye changamoto za uzazi. Amejibu kuhusu nani anaweza kupandikiziwa uume, gharama na…
-
Ukweli Kuhusu Faida za Vyama vya Ushirika
July 13, 2026 · 46 minMazungumzo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Florian Haule kuhusu ushirika na ukweli wake vile umesaidia kuinua uchumi wa Watanzania tangu zamani hadi sasa. Support the…

United States
Australia
Brazil
Canada
India
Ireland
Japan
Mexico
New Zealand
Philippines
South Africa
United Kingdom